Jimmy Mafufu amezaliwa mnamo mwaka 1984 mkoani Mbeya manispaa ya Mbeya .Ni baba wa watoto wawili na mke mmoja . Amepata elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Sinde , na kubahatika kuendelea na masomo yake ya elimu ya sekondari katika shule ya Iyunga iliyopo Mbeya. Pia amepata elimu yake ya sanaa katika chuo cha sanaa huko Bagamoyo ngazi ya cheti , amekuwa mwalimu wa vikundi mbalimbali vya sanaa kama new generetion, bahati njema , kidedea, shirikisho msanii Africa na vingine vingi na kwa sasa ni mkurugenzi wa kampuni ya Jmafufu the strong film
Kazi ya sanaa nilianza rasmi mnamo mwaka 1997, Kwa hivi sasa Jimmy Mafufu ni muigizaji, muongozaji muandaaji na mwandishi wa miswada ya film( script writting)
No comments:
Post a Comment